Jump to content

Universal Code of Conduct/Revised enforcement guidelines/Announcement/Voting/Email/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Upigaji kura sasa umefunguliwa kwa Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili

Mpendwa $USERNAME,

Kipindi cha upigaji kura kwa Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili sasa kimefunguliwa! Upigaji kura utafunguliwa kwa wiki mbili na utafungwa saa 23.59 UTC mnamo Januari 31, 2023. Tafadhali tembelea ukurasa wa maelezo ya mpiga kura kwenye Meta-wiki kwa maelezo ya ustahiki wa mpiga kura na maelezo kuhusu jinsi ya kupiga kura.

Katikati ya Januari 2023, Miongozo ya Utekelezaji ya Kanuni Majumui za Maadili itapigiwa kura ya pili ya uidhinishaji katika jamii nzima. Hii inafuatia kura ya Machi 2022, ambayo ilisababisha wapigakura wengi kuunga mkono Miongozo ya Utekelezaji. Wakati wa kupiga kura, washiriki walisaidia kuangazia maswala muhimu ya jamii.Kamati ya Masuala ya Jamii ya Bodi iliomba kwamba maeneo haya husika yakaguliwe.

Kamati ya Marekebisho yakujitolea ilifanya kazi kwa bidii kukagua maoni ya jamii na kufanya mabadiliko. Walisasisha maeneo husika, kama vile mahitaji ya mafunzo na uthibitisho, faragha na uwazi katika mchakato, na usomaji na tafsiri ya hati yenyewe.

Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa inaweza kutazamwa hapa, na ulinganisho wa mabadiliko unaweza kupatikana hapa.

Kura zitachunguzwa na kundi huru la watu wa kujitolea, na matokeo yatachapishwa kwenye Wikimedia-l, Jukwaa la Mkakati wa Harakati, Diff na kwenye Meta-wiki. Wapiga kura wataweza tena kupiga kura na kushiriki mambo walio nao kuhusu miongozo. Bodi ya Wadhamini itaangalia viwango vya usaidizi na hoja zinazotolewa wanapoangalia jinsi Miongozo ya Utekelezaji inapaswa kupitishwa au kuendelezwa zaidi.

Kwa niaba ya Timu ya Mradi wa UCoC,

Barua hii imetumwa kwako kwa vile umesajili anuani ya barua pepe yako kwa Shirika la Wikimedia Foundation. Ili kujiondoa kupata arifa za uchaguzi ujao, tafadhali ongeza jina lako la mtumiaji kwenye Orodha ya wasiopokea barua pepe za Wikimedia.

Plain text version

Mpendwa $USERNAME,

Kipindi cha upigaji kura kwa Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Revised_enforcement_guidelines> sasa kimefunguliwa! Upigaji kura utafunguliwa kwa wiki mbili na utafungwa saa 23.59 UTC mnamo Januari 31, 2023. Tafadhali tembelea ukurasa wa maelezo ya mpiga kura kwenye Meta-wiki <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Revised_enforcement_guidelines/Voter_information> kwa maelezo ya ustahiki wa mpiga kura na maelezo kuhusu jinsi ya kupiga kura.

Katikati ya Januari 2023, Miongozo ya Utekelezaji ya Kanuni Majumui za Maadili <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct> itapigiwa kura ya pili ya uidhinishaji katika jamii nzima. Hii inafuatia kura ya Machi 2022 <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Enforcement_guidelines/Voting/Results>, ambayo ilisababisha wapigakura wengi kuunga mkono Miongozo ya Utekelezaji. Wakati wa kupiga kura, washiriki walisaidia kuangazia maswala muhimu ya jamii.Kamati ya Masuala ya Jamii ya Bodi iliomba kwamba maeneo haya husika yakaguliwe.

Kamati ya Marekebisho yakujitolea ilifanya kazi kwa bidii kukagua maoni ya jamii na kufanya mabadiliko. Walisasisha maeneo husika, kama vile mahitaji ya mafunzo na uthibitisho, faragha na uwazi katika mchakato, na usomaji na tafsiri ya hati yenyewe.

Miongozo ya Utekelezaji iliyorekebishwa inaweza kutazamwa hapa <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Revised_enforcement_guidelines>, na ulinganisho wa mabadiliko unaweza kupatikana hapa <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Revised_enforcement_guidelines/Comparison>.

Kura zitachunguzwa na kundi huru la watu wa kujitolea, na matokeo yatachapishwa kwenye Wikimedia-l, Jukwaa la Mkakati wa Harakati, Diff na kwenye Meta-wiki. Wapiga kura wataweza tena kupiga kura na kushiriki mambo walio nao kuhusu miongozo. Bodi ya Wadhamini itaangalia viwango vya usaidizi na hoja zinazotolewa wanapoangalia jinsi Miongozo ya Utekelezaji inapaswa kupitishwa au kuendelezwa zaidi.

Kwa niaba ya Timu ya Mradi wa UCoC,

Barua pepe hii imetumwa kwako kwakuwa ulijiandikisha na barua pepe yako kwenye miradi ya Wikimedia Foundation. Ili kutokupata tena ujumbe kama huu kwa wakati ujao, tafadhali ongeza jina lako la mtumiaji kwenye orodha ya watu wasiopata jumbe za Wikimedia
<https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_nomail_list>.