Jump to content

Wikisource/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikisource and the translation is 19% complete.
Outdated translations are marked like this.

Wikisourceni mrdai wa Shirika la Wikimedia wa kujenga maktaba huru ya maelezo. kimsing mradi huu unaitwa mradi wa sourceberg ambao ulianzishwa mwaka 2003, mradi huu ulianzishwa chini ya idara ndogo ya makabila mbalimbali mnamo mwaka 2005. Kwa sasa mradi huu ni nyumba ya vitabu, Riwaya,insha,nyaraka za hadithi za kale, masahiri, barua, hotuba, na nyaraka zinginezo, ni ndefu kulingana na jinsi ambavyo itaandaliwa chini ya chombo cha cc-by-SA Kibali cha matumizi huria.

Jina,Kauli mbiu,Alama

Alama haris ya wikisource
  • Angalia chati ya multilingual ''wikisource-Maktaba huru'' kwa jina la mradi na alama yake yenye makabila mengi sana.
  • Alama ya wikisource hubadilika kulingana na historia ya mradi. Ilikuwa na uhalisia wa picha za jpg (kama inavyoonekana kulia) lakini kwa sasa inaonekana katika mwonekano wa picha wa .svg ambao upo kwenye iceberg (kama unavyoonekana hapo juu).

Olodha ya wikisources

Hii ni alama ya lugha ndogondogo za wikisource. Tazama Wikisource:Lugha kwa olodha ya lugha bila ya kuwa na alama ndogondogo; hizi zote zimehifadhiwa katika Multilingual Wikisource.

Wikisources in Wikipedia

Seven Wikisources are hosted as seperate namespaces within their appropriate language's Wikipedia.

The following language Wikipedias have adopted the Text: namespace for their Wikisource projects:

The Swahili Wikipedia has adopted the Wikichanzo: namespace for its Wikisource.

Historical discussion

Please see the talk page.

See also