Ruzuku:Mawazo/Hamasisha

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
Jump to navigation Jump to search
This page is a translated version of the page Grants:IdeaLab/Inspire and the translation is 100% complete.

Other languages:
Afrikaans • ‎Bahasa Indonesia • ‎Bahasa Melayu • ‎Deutsch • ‎English • ‎Esperanto • ‎Gaeilge • ‎Igbo • ‎Jawa • ‎Kiswahili • ‎Lëtzebuergesch • ‎Nederlands • ‎Tagalog • ‎Tiếng Việt • ‎Türkçe • ‎azərbaycanca • ‎català • ‎dansk • ‎español • ‎euskara • ‎français • ‎galego • ‎hrvatski • ‎italiano • ‎kurdî • ‎lietuvių • ‎magyar • ‎norsk bokmål • ‎polski • ‎português • ‎português do Brasil • ‎română • ‎svenska • ‎čeština • ‎Ελληνικά • ‎беларуская (тарашкевіца)‎ • ‎български • ‎монгол • ‎русский • ‎українська • ‎עברית • ‎اردو • ‎العربية • ‎سنڌي • ‎فارسی • ‎پنجابی • ‎پښتو • ‎अङ्गिका • ‎डोटेली • ‎नेपाली • ‎हिन्दी • ‎অসমীয়া • ‎বাংলা • ‎தமிழ் • ‎ಕನ್ನಡ • ‎മലയാളം • ‎සිංහල • ‎ไทย • ‎မြန်မာဘာသာ • ‎მარგალური • ‎ქართული • ‎中文 • ‎日本語 • ‎粵語 • ‎한국어
Kuhusiana na Kampeni Hamasishi
Red heart with heartbeat logo.svg

Kampeni za Kuhamasisha ni matukio ya muda mrefu katika mwezi yakizingatia juhudi za pamoja katika changamoto kubwa za harakati za Wikimedia. Huu ni wakati wa kushiriki na kuunda mawazo mapya.

Baada ya kampeni, Grants:Start are available kugeukia mawazo haya kwa hatua za pamoja. Katika mipango ambayo haiitaji fedha, utayarishwaji wa vifaa upo.


Je! kaulimbiu ya sasa ni ipi?

Kwenye kampeni hii, tunakaribisha maoni yako kuhusiana na "jinsi ya kutathmini hali ya jamii ya uhariri wako".

Mipango mizuri inaleta ubora wa juu wa utengenezaji maudhui, heshima ya ushirikiano, utendaji kazi kiufanisi na utatuzi bora wa migogoro. Mifano ya nadharia ambayo inapelekea mhariri kuchanganyikiwa, utunzi mbaya wa mhariri, utendaji wa kazi mbaya na migogoro isiyo na suluhu inaonesha kua si hali nzuri.

Ikiwa kama harakati, Wana-Wikimedia wamekua wakitathmini mambo ya jamii zao. Taarifa inaonyesha kwa mfano kiwango cha shuguli za mhariri, watumiaji wapya na tunzi za mhariri zinakusanywa mara kwa mara. Kipindi hizi takwimu zinatoa baadhi ya viashiria kuhusu hali ya mpango, hazitoi uelewa wa kina kwenye changamoto na maeneo maalu yanayohitaji maboresho.

Tunahitaji kukusanya taarifa amabazo zina tathmini mipango kikamilifu, kama vile takwimu zote za uhariri, lakini pia tunahitaji kuzingatia mazingira madogo, maalum na michakato ambayo wahariri wanakutana nayo katika kazi zao.

Create an idea


Kama una maoni yoyote kuhusiana na hali ya jamii, tafadhali shiriki katika kampeni hii ya sasa!

Maswali kuhusu kampeni hii au Kampeni za Kuhamasisha kiujumla? Tafadhali rejea the FAQ page.

IL down arrows orange.png Mawazo mapya
Widget-1b-01.svg
ideas created: 105
Widget-2b-02.svg
participants: 242
Widget-3b-03.svg
days left: 0recent activity...