Jump to content

Universal Code of Conduct/Enforcement guidelines/Voting/Translations/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Universal Code of Conduct/Enforcement guidelines/Voting/Translations and the translation is 92% complete.
Universal Code of Conduct

This page coordinates translation of the 2023 Universal Code of Conduct Enforcement Guidelines Ratification poll question.

Piga kura

Ndiyo

Hapana

Swali

Je, unaunga mkono utekelezaji wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili kulingana na miongozo iliyopendekezwa?

Kura hii ni sehemu ya mchakato wa uidhinishaji wa miongozo ya utekelezaji wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili. Wasilisha kura yako hapa chini. Kwa maelezo zaidi, rejea ukurasa wa usaidizi wa mpigakura kwenye Meta-Wiki.

Tafadhali chagua "hapana" au "ndiyo". Kura zisizo na "hapana" au "ndiyo" zilizochaguliwa hazitajumuishwa katika hesabu ya mwisho.

Ikiwa una wasiwasi kuhusu Miongozo ya Utekelezaji, tafadhali onyesha sehemu au sehemu ambazo zinahusika na wasiwasi gani ulionao. Maoni yatakuwa hadharani. Tafadhali usitoe taarifa za kibinafsi katika maoni yako. Asante.

Other material

  • title: Uidhinishaji Rasmi wa Miongozo ya Utekelezaji wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili
  • jumptext: Kura itafanywa kwa wiki kuu. Tafadhali bofya kitufe kilicho hapa chini ili kuhamishwa. Tafadhali kumbuka kuwa unapopiga kura maelezo fulani ikijumuisha anwani yako ya IP na wakala wa mtumiaji yatakusanywa ili kuruhusu wachunguzi kuhakikisha kwamba kura hiyo ni ya uadilifu. Taarifa hizo zitafutwa siku 90 baada ya uchaguzi kukamilika na zitaonekana tu kwa wakaguzi na washauri wa uchaguzi wa wafanyakazi.
  • returntext: Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili
  • unqualifiederror: Tunaomba radhi, lakini hauonekani kuwa kwenye orodha ya wapigakura wanaostahiki. Tafadhali tembelea ukurasa wa usaidizi wa wapigakura kwa maelezo zaidi kuhusu ustahiki wa mpigakura na maelezo kuhusu jinsi ya kuongezwa kwenye orodha ya wapigakura ikiwa unastahiki.